
Esterlina Sanga ‘Linah’ akikamata 'menyu' na shabiki wake Damson Mnyenye ndani ya Atriums Hotel.WIKI iliyopita staa wa Bongo Fleva, Esterlina Sanga ‘Linah’ alijimwaga na shabiki wake namba moja, Damson Mnyenye, mkazi wa Ubungo, Dar.
Wawili hao ‘wali-injoi’ kinomanoma maakuli ya The Atriums Hotel hasa huduma za kistaa walizopatiwa na wahudumu nadhifu wa hoteli hiyo.
Baada ya mpango mzima uliosababishwa na gazeti hili, Linah alifunguka: “Nimefurahia sana huduma za The Atriums Hotel, ni sehemu tulivu iliyojaa kila aina ya liwazo.”


No comments:
Post a Comment